Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,374
Habari wana JF?? Kwa kuwa kumeibuka mtindo wa kukimbilia kwenye vyombo vya habari kutafuta ndugu hasa wanapokuwa na umaarufu (Mfano baba Diamond alikimbilia magazetini kumtafuta mtoto wake ambaye ni Diamond na pia mdogo wake Ray alienda EATV kumtafuta kaka yake ambaye ni Ray mwigizaji) Na kwa kuwa jamii forum ni website maarufu sana ndani na nje ya nchi wakiwemo na washiriki (members) wake, na mimi naomba kutumia fursa hii kusema kuwa upweke unanitesa, hivyo leo natangaza kutafuta ndugu zangu humu JF!!! Sina ndugu hata mmoja hivyo basi natafuta woote, so marafiki, wajomba, mashangazi, mabibi, mashemeji, kinababa na mama, wachumba pia mnakaribishwa!!! Nawasilisha, be free kujipendekeza mwenyewe!!!! Karibuni saaaana!!!
 
Mh! na uzee huo utapata unachokitaka kweli?
labda wallet yako iwe bado under 40 yearz old...
BTW hata mimi namtafuta mchumba wangu vivian
kwa mara ya mwisho aliondoka geto mwaka jana mwezi kama huu...
tulipovunja jungu pale NAMNAANI
 
Last edited by a moderator:
una gari aina gani? nymba yako ipo mitaa ya wap eeh mengine yataendelea
haaa.! Meritta usimkatishe tamaa mwenzio. Ungeuliza unabaiskeli ngapi,unapanda daladala ngapi kufika nyumbani angekuelewa.!
 
Mie kila nikikuona nahisi wewe ni babangu mzazi. Tukafanye DNA, wallah utani_refund ada kuanzia za chekechea!
 
Back
Top Bottom