Natafuta / Nataka Kampani !!!

Natafuta / Nataka Kampani !!!

Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nimeamua kuwa na aina tofauti ya kufunga na kuanza mwaka. Natafuta kampani awe ke au me awe anauwezo nami na uwezo wangu wa kushare chochote kama drinks na maongezi yaendane pia. kama utakuwa me naomba uwe walau una 38 yrs najua hakutakuwa na mambo ya kihuni huni. Pia tutashauriana tutaenda wapi. Karibu kwa aliye siriaz tu.

Nawasilisha.

ni pm...
 
Mmmh! Hivi humu mmu hamna vijana wa kike under 25 years?

Sasa sisi vijana wa kiume tuishije humu? Company za watu wazima noma!!

Pole kwa sasa subiri ukifikia umri noma haitakuwepo tena na utakuwa na mengi ya ku share na age yako
 
Afu shemeji unajua nini wewe nisamehe tu bure nilijisahau kukupa mrejesho. Nilishajifunza nilienda veta ila bado natembelea lena soon taweka pembeni.

Oooh!!! good for u na hongera sana...kumbe tayari ushaweza kuutembeza mchuma hadi barabarani eenh!!
 
Oooh!!! good for u na hongera sana...kumbe tayari ushaweza kuutembeza mchuma hadi barabarani eenh!!

Ahsante sana. ila bado nina kawoga flani na huwa cpiti chochoro ni barabara kubwa mwanzo mwisho.
 
Ahsante sana. ila bado nina kawoga flani na huwa cpiti chochoro ni barabara kubwa mwanzo mwisho.

Okay haina shaka hata huko si mbaya kwa ajili ya ku-gain confidence, muhimu kwa sasa ni usalama wako na gari.

Uwe na wakati mzuri katika mtoko wako huu....
 
Unless ni Mjane anayetafuta faraja, Mwanaume wa umri huo atakayekubali kuandamana na wewe ni True definition ya Mtu mwenye mambo ya Kihuni huni.
Ni aidha atakuwa hajaoa.. Jiulize Mwanaume 38Yrs anasubiri nini hajaoa?
Au kama ameoa basi kitendo cha kumuacha mkewe nyumbani ili akae na wewe ndiyo uhuni wenyewe huo.
Hebu punguza miaka Bana tukupege Kampani, Na nina nondo kibao naweza kukupa hata zikakutoa kimaisha..

nipe mimi hizo nondo TANMO huyu bibi yetu ameshatoka tayari
 
Last edited by a moderator:
Okay haina shaka hata huko si mbaya kwa ajili ya ku-gain confidence, muhimu kwa sasa ni usalama wako na gari.

Uwe na wakati mzuri katika mtoko wako huu....

Ha ha haa. Ahsante mkuu na karibu sana lol.
 
Mtapata dhambi mjue. nyie chezeeni ma bibi tu hamjui ndo tuliowazalia wazazi wenu wapendwa.

mbona unakuwa mchoyo wewe si tayari umeshatoka wacha na sie tupate hizo nondo...
 
nina miaka 39 na mimi ni me,sifa yangu kubwa ni ustaarabu na ushauri wa maendeleo...karibu Ndeye
 
Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nimeamua kuwa na aina tofauti ya kufunga na kuanza mwaka. Natafuta kampani awe ke au me awe anauwezo nami na uwezo wangu wa kushare chochote kama drinks na maongezi yaendane pia. kama utakuwa me naomba uwe walau una 38 yrs najua hakutakuwa na mambo ya kihuni huni. Pia tutashauriana tutaenda wapi. Karibu kwa aliye siriaz tu.

Nawasilisha.

nina miaka 39 na mimi ni me,sifa yangu kubwa ni ustaarabu na ushauri wa maendeleo...karibu Ndeye
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Kama vigezo hamna basi maana siwezi rudisha miaka nyuma mkuu. au labda una mingapi wewe na uwe na familia yaani mke ndo muhimu.

Ah, basi ngoja nijiweke tu pembeni..
 
Back
Top Bottom