Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

Siku mfate asubuhi kabla hajaenda kazini mpige mwara mwambie aache ujinga na utamreport police nchini kwao hivyo vitu hamna kabisaa why afanye huku....
 
sitaki kabisa ajue ni mimi namchomea acha aisome tu namba kimya kimya tumemchoka
 
wewe ungefanyeje?
Wajumbe wameshakushauri hapo juu mbona??? Anza na Mjumbe hata kwa Simu. Yaani akianza kuweka mziki wake mpigie Mjumbe muda huo huo ndio unakua ushahidi mzuri ili Mjumbe aje mwenyewe na Wewe utakua Uko covered.
 
Ila kusema ukweli umeumbika mama naona kitu cha saida karole kabisa ebu chambua kama karanga
 
Wajumbe wameshakushauri hapo juu mbona??? Anza na Mjumbe hata kwa Simu. Yaani akianza kuweka mziki wake mpigie Mjumbe muda huo huo ndio unakua ushahidi mzuri ili Mjumbe aje mwenyewe na Wewe utakua Uko covered.
sawa mkuu nitatumia namba ya mtu sitaki wajue ni mimi ila kila mtu kamchoka jamaa watu hatulali yaani kama leo nimejiamkia tu saa saba
 
Back
Top Bottom