Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

Naombeni msaada wa namba za polisi kawe kuna jirani mkorofi sana akirudi usiku wa manane anawasha mziki kwenye gari kwa nguvu saa kumi na mbili ndo anaingia ndani kwake kulala.Watu hatulali vizuri kumbuka kumi na mbili hyo ndo watu tunaenda kazini hoi.
Mimi ningemfuata na kumwambia ukweli.akikataa nitaizima kwa nguvu.akileta ubishi tutachapana makonde.atakayezidiwa ndo ataenda polisi.
 
SITAKI AJUE NI MIMI NAMCHOMEA MAANA SIJUI HATA KAMA ANA MAKARATASI YA KUKAA HAPA BONGO

Kwa post zako za kila siku si ajabu kuna yaliyo nyuma ya pazia !! Haimeki sense kabisa, unamchomea vp km anafanya hayo ? Je unauathirika ni ww tu na hakuna majirani wengine ? Hao wa mtaa na viongozi wengine hawapo...!!
 
pita kule
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom