mkubwa wa habari
Member
- Jun 8, 2023
- 20
- 30
- Thread starter
- #21
hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijanaUnatafuta wa kuchakatana naye au wa kumchakata au wa kukuchakata?
Imebidi niulize kisanii uweze kujibu
hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijanaUnatafuta wa kuchakatana naye au wa kumchakata au wa kukuchakata?
Imebidi niulize kisanii uweze kujibu
Kwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata?hapana mkuu, mimi natafuta Mke, mambo ya kuchatana nimeachia vijana
sawa kiongozi nimekupataSio akili ya biashara ni elimu ya biashara.
hayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongoziKwa hiyo ukipata mke utakuwa unamuweka kwenye album na hautamchakata?
Mungu akujaalie ombi la nafsi yako
Elimu haileti akili, akili ndiyo inaleta elimu.Sio akili ya biashara ni elimu ya biashara.
Kila laheri bosshayo yatakua mambo ya ndani ya ndoa kiongozi
Wrong ❎Elimu haileti akili, akili ndiyo inaleta elimu.
Mweee mwaka huu umeanza vzrNasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii
Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣
Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku
Shukran RafikiYeroooo rafiki...Kila la kheri.
shukran mkuuMungu akakupe hitaji la moyo wako
Kila la kheri mkubwa wa habari
Kidogo niku tag😂😂😂Nasikia wamasai mna kifagio kile kinananiii
Au basi...ni vile tu sina akili ya biashara ningekuja pm 🤣
Tayana-wog njoo ujinyakulie masai huku