Natafuta Mwenza !!

Natafuta Mwenza !!

dah! injinia kabamizwa kweli kwenye hii sredi. na kwa hali ilivyo hata akuje na lawyer wa Maiko Jordan hii sredi haiwezi kufanikiwa tena.

sie wanawake ni wa ajabu sana,pengine kuna waliom-pm tayari....mie sitashangaa nani asiyetaka mtu mwenye kila kitu? nyumba usafiri mnh mie nimetamani.:teeth:
 
hehehe at least injinia akiona post hii anaweza akalejea kuendeleza sredi yake. tuongezeni maombi alejee jamani.
 
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda

sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com[/QUOTE

Samahani mgosi kama nitakukwaza, kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mwenye makuu sana. na hilo ni si jambo jema. Kama wazazi wetu wangekuwa na mashauzi kama ya kwako wote tusingezaliwa.
 
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com

Nawasaidia hao unaowatafuta uwawekee picha yako sio maneno matupu!
 
dah! injinia kabamizwa kweli kwenye hii sredi. na kwa hali ilivyo hata akuje na lawyer wa Maiko Jordan hii sredi haiwezi kufanikiwa tena.

Kwa kushushuliwa huku hata ningekuwa mimi ningeingia mitini. Harudi huyo wewe mchezoooo
 
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda

sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com[/QUOTE

Samahani mgosi kama nitakukwaza, kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mwenye makuu sana. na hilo ni si jambo jema. Kama wazazi wetu wangekuwa na mashauzi kama ya kwako wote tusingezaliwa.
Noted.
 
Mimi nawashangaa sana wabongo kwa kuponda kila kitu. mimi nimetumia technologia kujitafutia mke na kutoa vigezo ambavyo nimeona ni muhimu kwangu, lakini mnaniponda kwani mnataka niwaoe nyie?? Mnataka nifanyeje?Ningesema natafuta changu, mngeniita chizi. ningesema natafuta mntoto wa Kisure, mngeniita Mhaya au sharubaru. Nyie mkiwa mmeshaoa au kuolewa mniache na udhaifu wangu. Nina uhakika wa kumpata mwanamke wa dream yangu. Sijatafuta malaika, nimetafuta mwanadamu. Na pia siwezi kusema mie ni mtu hovyo mie siyo hovyo, lazima nijinadi, kwani nimesoma, mtanashati na ukweli ndo huo.Nina maisha ya kuridhisha na ninashukuru Mungu kwa hilo. Narudia tena vigezo vyangu

1. Natafuta mwanamke mrembo, na msafi. Kama hana kazi, basi awe ni mtu wa kujisheshimu
2. Mwanamke mwenye hips na maziwa makubwa
3. Mwembamba na mnene sawa tu
4. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
5. sitaki mwanamke mwenye bwana au boyfriend, unless uhusiano wao umekwisha
6. Mwanamke asiwe na drama, kwani mie sina drama kabisa. Mapenzi yawe ni yangu na yake. Habari ndo hiyo wakuponda mniponda. Mrembo kama ni wewe, ni beep kupitia interneti yangu hapo chini na wanga, wenye wivu wote wakajinyonge. Ila mrembo wangu anishtue

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
 
Asante sna sifa namba 4 naona nimekosa mie nina watoto watatu tayari :lol::lol::lol:
 
Mimi nawashangaa sana wabongo kwa kuponda kila kitu. mimi nimetumia technologia kujitafutia mke na kutoa vigezo ambavyo nimeona ni muhimu kwangu, lakini mnaniponda kwani mnataka niwaoe nyie?? Mnataka nifanyeje? Nyie mkiwa mmeshaoa au kuolewa mniache na udhaifu wangu. Nina uhakika wa kumpata mwanamke wa dream yangu. Sijatafuta malaika, nimetafuta mwanadamu. Na pia siwezi kusema mie ni mutu hovyo, lazima nijinadi, kwani nimesoma, mtanashati na ukweli ndo huo.Nina maisha ya kuridhisha na ninashukuru Mungu kwa hilo. Narudia tena vigezo vyangu

1. Natafuta mwanamke mrembo, na msafi
2. Mwanamke mwenye hips na maziwa makubwa
3. Mwembamba na mnene sawa tu
4. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
5. sitaki mwanamke mwenye bwana au boyfriend, unless uhusiano wao umekwisha
6. Mwanamke asiwe na drama, kwani mie sina drama kabisa. Mapenzi yawe ni yangu na yake. Habari ndo hiyo wakuponda mniponda. Mrembo kama ni wewe, ni beep kupitia interneti yangu hapo chini na wanga, wenye wivu wote wakajinyonge. Ila mrembo wangu anishtue

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com

Daah
Mkuu umelalamika mpaka nakuonea huruma
Usijali bana, maisha ni pamoja na kukubali changamoto za kupondwa au kusemwa vibaya, hata kama sio kweli
Songa mbele mkuu, usikate tamaa.
Hata ukija kuoa bado utakutana na changamoto za kusemwa pia, unaweza kusikia "oooh mke mwenyewe kapigwa pasi, sanamu la michelini, sura kama anacheza kiduku" (Samahami Mkuu, sikusemi nakutolea mifano tu ya kukwazwa):lol:
 
kila la kheri japo siamini katika cyber dating
lakini kila mtu na bahati yake
 
Huyu jamaa nimeshitukia nia yake hatupati ng'o si unaona kule kaanzisha thread hakurudi kaleta hii pumba nyingine kaingia mitini shindwa
 
acha kutafuta wachumba kwenye mtandao, rudi kijijini wazee wakutafutie mke mwema kama huwezi tafuta mwenyewe, acha mambo ya mitaani
ha haaaaaaaaaaaaaa haaa haaaaaaaaaaaaaaa................mkuu nimecheka sana a labda jamaa anaogopa mambo ya nikusaidiaje uleee wimbo wa prof jay
 
pepo wewe utoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooookeeeee
 
Huyu jamaa nimeshitukia nia yake hatupati ng'o si unaona kule kaanzisha thread hakurudi kaleta hii pumba nyingine kaingia mitini shindwa

anti wee unaichongea sana. kama hauna time, basi niache hivyo hivyo. wala haun haja ya kuchangia. hacha kuumiza feelings za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom