Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,866
- 59,667
hapo chacha. Mi muda mrefu nawasoma hata posts za nyuma.
Aibu na uoga hadi kwenye keyboard!
Hahahaha...domo zege mpaka kwenye keyboard!Sijui mtaani watakuaje...!
hapo chacha. Mi muda mrefu nawasoma hata posts za nyuma.
Aibu na uoga hadi kwenye keyboard!
hebu naomba delete hii thread halafu hamia pm
Sasaa bili tunalipa..nyumba tunajenga..ada za watoto tunalipa..fimilia tunasaidia..tukianza na kutongoza nyie mtabaki na nini?
Orait.......nimekusoma.Mwenyewe nilitaka kuuliza!Wanataka watongozwe badala ya kutongoza wao!
Bado naendelea kukusoma vere vereHahahaha...domo zege mpaka kwenye keyboard!Sijui mtaani watakuaje...!
hahaa,unaogopa upinzani eee!
hapo chacha. Mi muda mrefu nawasoma hata posts za nyuma.
Aibu na uoga hadi kwenye keyboard!
mumeanza kuzalilisha wanaume na nyinyi sio? mkileta za kuleta tutalifufua lile sredi la bikira na kutoa mimba muda si mrefu. haya ombeni razi haraka.Hahahaha...domo zege mpaka kwenye keyboard!Sijui mtaani watakuaje...!
orait.......nimekusoma.
mumeanza kuzalilisha wanaume na nyinyi sio? mkileta za kuleta tutalifufua lile sredi la bikira na kutoa mimba muda si mrefu. haya ombeni razi haraka.
kamanda vipi mawindo yanakwendaje?mi sipendagi second thoughts....l.o.l
Enhee!Nikianza kutongoza ndo basi tena ntaanza kujilinganisha na wewe!mama unafanya hivyo vyote?
kamanda vipi mawindo yanakwendaje?
mumeanza kuzalilisha wanaume na nyinyi sio? mkileta za kuleta tutalifufua lile sredi la bikira na kutoa mimba muda si mrefu. haya ombeni razi haraka.
hehe dah! acha niweke mafaili sawa hapa kabla sijafungua ofisi rasmi. hata digi digi mlemavu haujapata?mpaka sasa pori halitabiriki!
hehe dah! acha niweke mafaili sawa hapa kabla sijafungua ofisi rasmi. hata digi digi mlemavu haujapata?
na mkiwaita madomo zege , nani atakupeni ujauzito? tuombeni razi bana kabla hatujaandamana.Sasa kama wanataka kupigwa sound wao tusemeje?
hivi nyie vipi bana!!! mara hatuna nguvu za kiume, mara tuna vibamia, mara sisi ni Marioo.....hatulipi bills, mara hatuli ubwabwa na vibua na familia.........sasa mnasema hatujui kumwaga sera.Enhee!Nikianza kutongoza ndo basi tena ntaanza kujilinganisha na wewe!
na mkiwaita madomo zege , nani atakupeni ujauzito? tuombeni razi bana kabla hatujaandamana.
heheeh mPM yule memba anaitwa mzizimkavu, nazani atakusaidia kwa masuali yote ambayo hayaingii akilini.mganga kaniambia nipeleke njiwa aliyefiwa na kaka yake
mumeanza kuzalilisha wanaume na nyinyi sio? mkileta za kuleta tutalifufua lile sredi la bikira na kutoa mimba muda si mrefu. haya ombeni razi haraka.