Natafuta mwenza

hivi nyie vipi bana!!! mara hatuna nguvu za kiume, mara tuna vibamia, mara sisi ni Marioo.....hatulipi bills, mara hatuli ubwabwa na vibua na familia.........sasa mnasema hatujui kumwaga sera.

Huu ni uzalilishaji wa a)kibaolojia b) kisaikolojia na c) kijinsia.
Leo mpaka mtu alie!!Kwani hayo yote uwongo?Ngoja niongezee...wakoloni..wakorofi...vigeugeu mengine namezea!
 
sasa mpaka maujanja tuwape sisi jamani.
Bidada anatafuta mchumba badala vidume vichangamke vinakonyeza konyeza screen tu.
una uhakika gani kama ni bidada? pengine ni njemba inatafta mtu ikamchomoe wallet. behind evry keyboard there is a mystery hiding.

usiusemee moyo: source, lady jaydee
 
Umod ndo unaleta kujiamini??Walaa!
niombe razi japo mimi basi switihati, mwenzio lile jina la domo zege limenikosesha mpaka apetaiti ya kupiga msuwaki. hao kina hashycool unaweza ukaendelea kuwaita tu domo zege haina kwere kabisa yaani.
 
Leo mpaka mtu alie!!Kwani hayo yote uwongo?Ngoja niongezee...wakoloni..wakorofi...vigeugeu mengine namezea!
yote hayo yakwetu? sasa mbona huwa mnalala vifuani mwetu na kujisikia rahaaaa!!
kwa hiyo huwa mnalal kwenye vifua vya wakoloni?
kama wewe ni mod cheki unambie nimemtumia nani PM sasa hivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom