Natafuta mwenza

Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.

Pole sana kwa kutengana na mumeo.Sidhani kama ni busara kwa greta thinka kama wewe kumtafuta mwenza through jf,i think sio sahihi hata kiduchu.just omba kwa mola kwani yeye ndio mpaji wa yote,are you there!!
 
mm huwa sitembeleagi hili jukwaa. leo nimetumia muda kupitia sredi kadhaa. kuna moja analalamika anatongozwa halafu kuna hii ameamua kuomba atongozwe. sasa inakuwaje?
 
mm huwa sitembeleagi hili jukwaa. leo nimetumia muda kupitia sredi kadhaa. kuna moja analalamika anatongozwa halafu kuna hii ameamua kuomba atongozwe. sasa inakuwaje?

....wapi kaombwa atongozwe hapa? ivi kutafuta mwenza ni kuomba kutongozwa? .....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom