Natafuta mwenza wa kiume

Natafuta mwenza wa kiume

mimi nilienda mbali zaidi NILITAFUTA MWENYE BIKRA ndo iwe mtoto kwangu kwaheri UKIOA MKE MWENYE MTOTO SUBIRIA KUKOSA FURAHA YA NDOA

WALAU HATA ASIYE NA BIKRA SIYO MWENYE MTOTO
Utapata unayemtaka. hata mwenye bikira utampata. wapo wengi tu. we pita kimya kama unaona haikuhusu.
 
NISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu

TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
 
Habari JF Members,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Natafuta mke:

Kazi kwako... Mi nimefanya kuunganisha thread tuu
 
NISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu

TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
Thanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7
 
Habari JF Members,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
0685335665 tuwasiliane
 
NISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu

TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
Sina haja ya kukueleza kuhusu yalopita. Ila kuwa makini na mdomo wako. Najua mwenyewe nilikotoka
 
mimi nilienda mbali zaidi NILITAFUTA MWENYE BIKRA ndo iwe mtoto kwangu kwaheri UKIOA MKE MWENYE MTOTO SUBIRIA KUKOSA FURAHA YA NDOA

WALAU HATA ASIYE NA BIKRA SIYO MWENYE MTOTO
ahahaaa aya mimi sina mtoto ila nataka mbaba miaka 45 kwenda juu aliechoka maisha kabisa
 
Thanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7
Bwana Mungu asema hivi ujitunze MJUE MUME BAADA YA NDOA je ulichokifanya ni halali? okay kama sio halali ungeaza kwanza kujieleza ulipoteleza
soma isaya 7;12 umemjaribu bwana Mungu wako kwa kulivunja agano lake kwetu mpaka umri huo kakunyima mume
 
hajaninyima. na nilipomkosea nishatubu so najua wangu yupo tu. ata kama atachelewa.
 
Jamani kama unajijua huna hivyo vigezo usijisumbue kuja Pm.
 
hajaninyima. na nilipomkosea nishatubu so najua wangu yupo tu. ata kama atachelewa.
Inaonekana hujalisoma neno vizuri Mungu alikupa huyo aliekutoa bikra ndie mumeo halali wako maana ushafanya nae maagano
kama hujui maana ya bikra kibiblia nakuomba soma kabila ya Reubeni katika kutoka pindi wapo kuchunga binti alipotumwa awafuate huko na akabakwa je biblia inasemaje na kwanini alijinyonga

kama haitoshi njoo agano jipya Mathayo 1;20 pale malaika akamtokea Yusufu je unahisi kwanini yusufu aliingiwa na hofu kumuoa Bikra Maria?

hebu mrudie mumeo kama una mawasiliano nae
 
Mkuu ( The Richards) unasoma shule ya msingi ipi?
 
Inaonekana hujalisoma neno vizuri Mungu alikupa huyo aliekutoa bikra ndie mumeo halali wako maana ushafanya nae maagano
kama hujui maana ya bikra kibiblia nakuomba soma kabila ya Reubeni katika kutoka pindi wapo kuchunga binti alipotumwa awafuate huko na akabakwa je biblia inasemaje na kwanini alijinyonga

kama haitoshi njoo agano jipya Mathayo 1;20 pale malaika akamtokea Yusufu je unahisi kwanini yusufu aliingiwa na hofu kumuoa Bikra Maria?

hebu mrudie mumeo kama una mawasiliano nae
Hongera kwa kujua neno? Ya kale yamepita naganga yajayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom