Natafuta mwenza wa kiume

Natafuta mwenza wa kiume

umri kitu gani bana mbona diamond pale amechukua mama yke mdogo na life linasonga bana we nipe kibali niijenge ndoa iliyokufa ktka mazingira yakutatanisha
Naihitaji kuishi muda mrefu. Sitaki pressure ya vijana
 
Habari JF Members,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm

Wasifu Wangu:

Mkristo
Mi ni mnene
Mrefu cm 178
Maji ya kunde
mwajiriwa (Non -Government)
tatzo umri wangu naogopa ata kusema
 
Habari JF Members,

Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm

Wasifu Wangu:

Mkristo
Mi ni mnene
Mrefu cm 178
Maji ya kunde
mwajiriwa (Non -Government)
ok, kila raheli mungu akutangulie na imani utatimiza ndoto zako
 
Duh mkuu true Fact kuna moja alinikaaa nisimuoe kazalishwa huko sasa hiv naona SMS kibao tuu za kunisalimia kila SAA

wakiwa wabichi wasichana wanapenda kuruka ruka wakiona kumeshakucha wanaanza kutafuta hata vichaa mradi tu waolewe tena kipindi hiki cha Jpm hata yule aliyekuwa ananata mtaa mzima yeye mwenyewe anajileta mabachelor mna kazi kweli kweli
 
Tumechooka kuwajibu mimi nishajibu zaidi ya wa nne niko tayyar kimya kama umefanikiwa kumpata japo humu jf mutujulishe na cc tuliiojaza fomu za kukubali naona mwatupotezea muda ikiwa mtu hukumtaka kwasababu fulani fulani mujibu
domo zege mkuu umekosa kweli kote mpaka jf?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom