anayejishughurishayeye alisema anataka mwanaume wa aina gani?
Fungukia hata hapa tu mkuu, vunja ukimya usione soooTukijaga PM munatijibu Hovyo
Wanataka Private Message waone Response hFungukia hata hapa tu mkuu, vunja ukimya usione sooo
Mkuu...mimi nilikuwa mkweli ila sikupata

Duh mkuu true Fact kuna moja alinikaaa nisimuoe kazalishwa huko sasa hiv naona SMS kibao tuu za kunisalimia kila SAANISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu
TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
ahahaaMkuu...
Hiyo fursa bado ipo?
![]()
![]()
Tupia picha tukuone kabla hatujajiingiza huko!!Habari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Wasifu Wangu:
Mi ni mnene
Mrefu cm 178
Maji ya kunde
mwajiriwa (Non -Government)
nitumie ivyo ivyo ukiwa hujavaaSivaagi. zinanibana
Vipi kimeeleweka?Njoo PM
Hamna kitu....mtu mwenyewe masharti kibao utadhani mganga wa kienyejiVipi kimeeleweka?

Hamna kitu....mtu mwenyewe masharti kibao utadhani mganga wa kienyeji![]()
![]()

Tumechooka kuwajibu mimi nishajibu zaidi ya wa nne niko tayyar kimya kama umefanikiwa kumpata japo humu jf mutujulishe na cc tuliiojaza fomu za kukubali naona mwatupotezea muda ikiwa mtu hukumtaka kwasababu fulani fulani mujibuHabari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Wasifu Wangu:
Mi ni mnene
Mrefu cm 178
Maji ya kunde
mwajiriwa (Non -Government)
kuna dada PM nilimwambia mie mbeba zege akapotea mazima mpaka leo hajibu ila online yupo
ahahaaa mi sijapata bwanaMkuu umenichekesha sana. Nahisi huyo ni Miss Natafuta, maana mrembo huyu huwa haachi kutafuta.
-Kaveli-
ahahaaa mi sijapata bwana