Natafuta mwenza wa kike ila awe Mwalimu wa Sayansi au Hisabati

Hahaha, nimecheka sana kwa hicho kigezo.
Walimu wa sayansi au hisabati wa kike sio wengi sana. Jaribu wa sanaa au lugha, hao wamejaa ni wewe tu!!
 
Kwa hiyo Ajira za Ndalichako hawamo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom