Natafuta mwekezaji katika bidhaa za ngozi hususani Viatu vya wazi(Sandals) na Vya kufunika, Mikanda (mishipi)

Apr 24, 2015
98
72
Naitwa Eliakim Xavery Migayo, Nipo Mwanza Manispaa ya Ilemela Kata ya Buswelu, mtaa Buswelu" A"

*Shughuli yangu ni Mjasiliamali Mtengenezaji wa bidhaa za ngozi hususani Viatu vya wazi(Sandals) na Vya kufunika, Mikanda (mishipi) nk.*
Binafisi nmekuwa na changamoto ya mtaji kwani mtaji wangu ni mdogo sana hivo kufanya soko liwe dogo kutokana na kutokuwa na bidaa za kutosha katika soko, Nina chumba (flame) nina vitendea kazi Kama cherehani ya kushonea nk, ila changamoto kubwa ni Pesa kiasi flani cha Kununulia Malighafi kwaajili ya kutengenezea bidhaa nyingi.

ombi langu ni Kama Kuna mpendwa Yeyote anayeweza kuwa tayari Kuwekeza katika kazi hii Naomba anitafute kwa namba yangu hii 0746469304 ili tuzungumze kwani lengo ni tufanye biashara pamoja yaani *Yeye aweke pesa mimi niweke nguvu* tugawane faida
Tutafuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na Mkataba na taratibu zozote zitakazohitajika.
BWANA AWABARIKI SANA

kimxav
eliakimxavery@gmail.com
WhatsApp +255 74 6469 304
20190929_183403.jpg
20180621_205808.jpg
 
Soko la bidhaa zako zikoje?unahitaji mtaji kiasi gani?Umesajili jina la biashara?
 
Back
Top Bottom