Investment Opportunity(Faidika na Sisi kupitia uwekezaji kwenye biashara ya bidhaa za ngozi)

Pham_designs 2017

New Member
Jun 2, 2021
4
3
Opportunity to Invest & Earn(Increase/widen your portfolio base)in our leather products production Company(Industry)
-Jina la kampuni ni Pham Designs

-Habari wanandugu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sisi ni kampuni(kiwanda) changa kinachojishughulisha na utengenezaji wa bidhaa zitakonazo na ngozi,PVC,PU na materials nyingine mbalimbali..Nawakaribisha wadau wote na yoyote kama ikikupendeza kuwekeza chochote unapoona panafaa..

-Fursa hii ni ya kipekee sana maana si lazima uwekeze pesa la hasha!Bali hata kwa kutupatia soko la bidhaa zetu ambalo kupitia kutupatia soko husika utafaidika kwa commission nzuri kutokana na ukubwa wa bidhaa zitakazouzika..

-Fursa kwa mwenye uwezo wa kuwekeza pesa pia ipo na anaweza kuwekeza katika sehemu zifuatazo
ambazo nitagusia kwa ufupi
1.Vifaa viwezeshi(Machines)
*Postbed machines(1 postbed= 3million kwa mpya na ni 1.7-1.5m kwa used)Hii nia mashine ya kushonea ngozi..Idadi inategemea na willingness ya Investor na monetary capacity..ila kwa sasa zinahitajika 4 maana ofisi tayari inayo moja

*Shoe oven machine
-Hili ni jiko la kupashia soli price ni 2m

*Pressing machine ya 2 feet
-price yake ni 5m
NB: Ofisi(kiwanda)ina mashine 4 ambazo ni postbed1,Skiving machine1,flatbed1,Grinding machine 1..

2.Mtaji wa kuendeshea(Working Capital)
-Hapa kutokana na uwezo mdogo kifedha na uwezo wa kujiendesha tulikuwa tunahitaji approximately from 20million-100millions(Tzs) na hii ina vary kutokana na ukweli kwamba tunakosa fursa nyingi sana za kupata tenda kubwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kuproduce kwanza at large quantity na kuwa paid after(cash on delivery) maana ukishatengeneza mzigo ndipo unapopatiwa malipo yako..
-Hivyo basi ikitokea investor/investors wakaweza invest kwa namna yoyote kukubali kutoa kiasi cha pesa pale tuu pindi kazi itapopatikana then itakuwa imetusaidia kwa kiasi kikubwa..

NB: Hapa kwenye mtaji wa kuendeshea pia ni kwa ajili ya day to day activities za kiwanda kama Purchases,expenses na vinginevyo..Najitahidi kuwa brief ili niendelee kugusia na vingine..Kama utakuwa interested please Kindly DM/PM for more information..

Sasa turudi katika fursa nyingine ambayo inaweza kumpatia kila mtu kwa namna yake nafasi ya kujiongezea kipato..

Fursa hii inatokana na bidhaa zetu tunazozitengeneza,bidhaa zetu zinagusa kada na sehemu mbalimbali katika jamii kama

1.Viatu vya shule
Hapa kila mtu kwa nafasi yake anaweza akaiona fursa kupitia bidhaa zetu za viatu vya shule..Mzazi,mlezi,Kaka,Dada na kadhalika...unaweza ukatoa order/orders zako ili uweze kunufaika kwa namna moja au nyingine..Maana bei zetu ni rafiki sana kutokana na ubora wa bidhaa zetu...Jumla na rejareja pia

-Fursa nyingine hapa ni kwa Wamiliki(wahusika/waajiriwa)wa Shule Binafsi,Shule za Serikali na kadhalika..Unaweza kutumia ushawishi wako kuwashawishi waweze kuchukua viatu kwetu na kuuzia wanafunzi hivyo ikawa namna moja ya kuongeza mapato kwa Shule husika lakini pia katika kuhakikisha Uniformity amongst the Students at large..
-Tukiachana na Shule sehemu zingine ambazo wewe kama mdau unaweza kutusaidia kupanua wigo wa uhitaji wa bidhaa zetu bora ni
•Watoto wenye uhitaji maalumu kama vile vituo vya kulea Yatima
•Kambi za wakimbizi
•Taasisi zinazohusika na masuala ya Watoto kama UNICEF,CAMFED,UNHCR,UNESCO etc
-Hapa mtu yoyote anaweza kusaidia kupitia nafasi yake na relationship aliyokuwa nayo na mashirika tajwa hapo au yafananiyo na hayo katika shughuli zao hapa nchini..

NB:Habari kwa picha









IMG_3775.jpg

IMG_3751.jpg

IMG_3745.jpg

IMG_3730.jpg

IMG_3722.jpg

IMG_3783.jpg

IMG_3719.jpg

IMG_1797.jpg

IMG_1798.jpg


NB:Bei ya viatu hivi hutofautiana kutokana na namba that is
Namba 22-36 bei ni Tsh 30,000 kwa rejareja
Namba 37-41 bei ni Tsh 35,000 kwa rejareja

Bei ya jumla inategemea na pieces utakazo zichukua

Pia waweza kuja na design unayotaka wewe we have professionals to give you the desired outcome...


2. Sare(Uniform) za Ofisi Mbalimbali
-Ukiwa kama mtumishi wa Umma unaweza kutumia ushawishi wako katika manunuzi ya bidhaa zetu bora kabisa na pia wewe mwenyewe tunaweza kukutengenezea kitu katika ubora na ufanisi wa hali ya juu
IMG_2218.jpg

IMG_6043.jpg

IMG_6046.jpg

IMG_6041.jpg

IMG_6045.jpg

IMG_2221.jpg

NB:Bei za Buti zinatofautiana pia kutokana na materials husika kwenye kutengeneza
•Buti zenye ngozi ya kawaida isiyo ya mng'ao ni Tshs 55,000
•Buti zenye ngozi ya mng'ao(Ya kufuta/kama kioo)hapo mbele ni Tshs 70,000

Hizi ni Boots ambazo zinaweza kutumika kwa watumishi wa majeshi mbalimbali kama
-JWTZ
-JKT
-JKU
-Police Force
IMG_9184.jpg

..

IMG_9053.jpg

IMG_9040.jpg

IMG_9037.jpg

IMG_9049.jpg


NB: Bei ya hizi Oxford shoes za maafisa wa polisi ni Tsh 65,000 na ngozi yake ni ya mng'ao

- Fire Resque Force

Lakini pia zinaweza kutumika kwa
-Kampuni za Ulinzi kwa ajili ya Security Guards wao

Hivyo basi nakupa uhakika kuwa fursa hii ya kipekee inaenda kugusa kila mtu kwa namna yake


3.Staff,Casual,Simple &Elegant Office Shoes
-Hapa Tunakupa ile kitu roho inapenda,with our very own unique designs na hata your desired designs tunatengeneza viatu ambavyo ni eyecatching na durable kwa muda mrefu..
-Fursa hii inamuangukia mtu yoyote yule whether mfanyabiashara,kijana na wengineyo watakayoiona fursa hii na kuifanya iwaongezee kitu katika mfuko...
IMG_2040.jpg


Najaribu kuupload picha nyingine naona zinagoma...ngoja tuachie hapa kidogo na nimalizie kwa kugusia some other parts partially

4.Protection and Safety boots
-Hizi pia tunatengeneza na nitatuma picha kwa yoyote atakayehitaji hapo mbeleni...kutokana na changamoto inayonikuta ya kuupload picha nyingine kwa sasa..

NB: Bei inatofautiana kutokana na materials zilizotumika lakini bei ni kuanzia
-45,000
-55,000
-65,000

NB:Tuna bidhaa nyingi tunazotengeneza ila kwa sasa tumeanza na main Focal point ambayo ni viatu lakini pia tunatengeneza bidhaa kama
-Mabegi(Laptops,Backpacks na mengineyo)
-Handbags
-Sandals
-Seatcovers
Na kadhalika


Nimalizie kwa kusema ninakushukuru kwa kuchukua muda wako kusoma na kupitia uzi huu...Tukishirikiana tunaweza ijenga Tanzania tunayoitaka sisi wenyewe...
-Kwa kutuwezesha Sisi kwa namna moja au nyingine utakuwa umesaidia Jamii kwa ujumla kupitia fursa mbalimbali zitokanazo na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji...

Ahsanteni sana na Nashukuru

IMG_3797.jpg


IMG_3784.jpg


IMG_3779.jpg


IMG_3744.jpg


IMG_3751.jpg


IMG_3719.jpg


IMG_3722.jpg


IMG_1794.jpg


IMG_1798.jpg


For more contact and enquiry please use these numbers kutufikia

Namba za Simu ni 0659144005(Whatsapp and normal calls)
0766020114( Normal calls)
 
Niwapongeze kwa uthubutu huo, mradi wenu ni mzuri na product zenu zinafinishing nzuri, mkiwa na production kubwa naamini mtawazidi washindani wenu. Nakushauri pia unaweza kucheki mkopo kwenye bank, kama kuna mmoja wa founders wenu ana plot iliyoendelezwa naweza kuwapa connection ya bank itakayowanunulia machines kuanzia za milioni 10 na kuendelea.
 
Niwapongeze kwa uthubutu huo, mradi wenu ni mzuri na product zenu zinafinishing nzuri, mkiwa na production kubwa naamini mtawazidi washindani wenu. Nakushauri pia unaweza kucheki mkopo kwenye bank, kama kuna mmoja wa founders wenu ana plot iliyoendelezwa naweza kuwapa connection ya bank itakayowanunulia machines kuanzia za milioni 10 na kuendelea.

Ahsante sana kwa positive feedback,Tutajaribu hilo pia na incase of anything tutakuconsult pia when necessary..
 
Back
Top Bottom