Natafuta mwanaume wa kunioa

humu tena, mbona nasikia ndo kuna matatizo balaa
Hujawahi kuinvestigate, achana na shuhuda za waliokuwa wanajaribu wakakutana na wajaribu wenzao. Binafsi nina shuhuda za marafiki ambao they found their soulmates humu na mpaka sasa mambo fresh na wanafamilia....
 
Weeee basi wacha mwakani majira kama haya nijaribu bahati yangu
 
Let it be now. Kwenye maisha vipaumbele haviepukiki na daima vipo tu. Wahenga wanasema "Chelea chelea......."πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah nilikuwa nikijua sisi wanaume ndo hua tunatafuta kumbe hata wanawake mnatafutaga nikutakie kheri
Itabidi yeye ndio atoe mahari sasa kwa mwanaume 🀣
 
Ipo siku nami humu nitatoa tangazo nikitafuta mkeπŸ˜ƒ
 
Let it be now. Kwenye maisha vipaumbele haviepukiki na daima vipo tu. Wahenga wanasema "Chelea chelea......."πŸ˜†πŸ˜†
Hahaha amna bwana, ngoja nitulie kwanzaπŸ€£πŸ™ŒπŸΎ
 
Dk za lala salama milio imeanza kusikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…