Natafuta mwanaume wa kunioa

Upo tayari kuwa mke wa tatu?
 
Sizani kama kuna mtu atakubali kuoa mbibi wa miaka yako
 
Kwa umri huo lazima tujiulize ata-offer nini kwenye ndoa? Sio kuvaa vibana tumbo na croptop aonekane binti mdogo wa 2005 kumbe ni mshangazi wa 1999
Kukuzalia na kukulelea watoto watakaoitwa kwa jina lako pamoja na kukulea wewe unafikiri ni jambo dogo!!!
 
Kwani huyu mleta mada kaenda wapi? Nyie mmeshamuona huko..?🙄 Au ameshapata?
 
we siulikuwa unawabeza wavaa mashati ya vitengee eti washamba? unaonaje ukomae na masharobaro tu.
 
Ukikosa kabisa, nipo tayari kukupa kampani ya hapa na pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…