Natafuta mwanaume mgane

Natafuta mwanaume mgane

Nimekuwa msomaji humu ila nimekuwa na ID kwa sababu hii.

Kama umefiwa na mkeo kipenzi cha roho yako akakuachia watoto wasiozidi 2 na asipungue mmoja njooo inbox najua una hitaji mwanamke wakukupenda kwa dhati na mlee watoto. Mi nna 1 na wako 2 basi tutaendeleza fimilia yetu bila hiana!

Vigezo muhimu
age 37-42

uchumi: uwezo wakujihudumia wewe na watoto ( na mimi sio tegemezi sihitaji tegemezi ili tuwe tunashare/kusaidiana)
Uwe ushamalizamaujinga ujinga yooote tujenge familia

elimu: kusoma na kuandika japo mi ni graduate
Dini: RC,Lutheran, muislam naweza copy naye haina shida uwe kweli una mcha Mungu.

makazi: uwe na kwako sio unakaa kwa wazazi ama ndugu mf uwe umepanga/ umejenga.

NB: Usije inbox kama hukuwa unampenda mkeo maana utakuja huhitaji upendo wewe na huujui,
pia kama hujafiwa na mke na huna mtoto labda uwe umewahi kuumizwa sana mwenzako ameolewa naana watoto huko umekata tamaa ya mapenzi n.k.

umri wangu 27-29
 
Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
Ungekuwa mhitaji ungemwelewa kabisa yaani hapo kaweka age yake ni btwn 27-29 hajafika 29 khaaa elimu elimu elimu inakuhusu
ndio mjane mwanamke/ mgane mwanaume pack pembeni wenzio waingie wewe sio mhiaji
 
kwa nini unakuwa desperate na ndoa at that age? 27-29 isn't too much my dear, you are better than that,come on please, hata kama una mtoto, that's just life, please make up your mind and start afresh, be more positive, kwa nn uwe na mgane?na aliyekuzidi miaka kiasi hicho bhana,
pls here this voice YOU DESERVE THE BEST AND NOT THE LEST, you are better than than!
 
Kama sijafiwa na nina watoto nataka tuishi wote inawezekana? Na je wewe ulifiwa na mumeo?
 
Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
Mjane ni mwanamke aliye
Mgane ni mwanaume aliye.
 
Njoo Inbox mkuu,vigezo nnavyo mpka vimepitiliza# waiting
 
Pack pembeni na ujinga wako ukielimika ndio utajua ni nani anaquote comment zako za kijingam angalao uelimike bado elimu elimu elimu
Mpaka ntakapokutatua marinda ndo utaniheshimu... I said staki mazoea na mapunga, sasa kama unawashwa endelea...
 
Tatizo huw hamtupi mrejeo kama mmefanikiwa au hamjafanikiwa
 
Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
27-29, ni range.
halafu mgani ni mfiwa wa mke. kwaio yuko sahihi kabisaa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom