NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,246
hahaaaaaa....unaogopa re-growthUngekua huna mtoto ningekupm. Au labda ba mtt wako bado yuko hai?
hahaaaaaa....unaogopa re-growthUngekua huna mtoto ningekupm. Au labda ba mtt wako bado yuko hai?
wee mtake radhi, hataki mjane.Kwa nini umetaka mjane tu ndugu?
wewe ndio hujui Mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume na Mgane ni mwanamume aliyefiwa na mkewe.Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
Hahahah Umenichekesha Sana Mkuu,chukua Like.Subiri sasa msg kutoka kwa mifataki iliyoacha wake zao vijijini. Watakulala halafu watoke nduki.
Wako 3 hao. Fursa hizo..Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29![]()
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
Nimekuwa msomaji humu ila nimekuwa na ID kwa sababu hii.
Kama umefiwa na mkeo kipenzi cha roho yako akakuachia watoto wasiozidi 2 na asipungue mmoja njooo inbox najua una hitaji mwanamke wakukupenda kwa dhati na mlee watoto. Mi nna 1 na wako 2 basi tutaendeleza fimilia yetu bila hiana!
Vigezo muhimu
age 37-42
uchumi: uwezo wakujihudumia wewe na watoto ( na mimi sio tegemezi sihitaji tegemezi ili tuwe tunashare/kusaidiana)
Uwe ushamalizamaujinga ujinga yooote tujenge familia
elimu: kusoma na kuandika japo mi ni graduate
Dini: RC,Lutheran, muislam naweza cope naye haina shida uwe kweli una mcha Mungu.
makazi: uwe na kwako sio unakaa kwa wazazi ama ndugu mf uwe umepanga/ umejenga.
NB: Usije inbox kama hukuwa unampenda mkeo maana utakuja huhitaji upendo wewe na huujui,
pia kama hujafiwa na mke na huna mtoto labda uwe umewahi kuumizwa sana mwenzako ameolewa naana watoto huko umekata tamaa ya mapenzi n.k.
umri wangu 27-29
Wewe Si Ulisema Utajibebisha Mwenyewe Jamani!!mwenyewe nilitafuta nikakosa
kwa hiyo uliwafanya members wa jf ndio sample space yako ya kukusanyia data!!asanteni nimekamilisha kukusanya data zangu![]()
kwa hiyo uliwafanya members wa jf ndio sample space yako ya kukusanyia data!!
