Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Kwema sanaMkuu kwema huko?!
Kwema sanaMkuu kwema huko?!
Sema wewe ni single mother unatafuta single father.
Unaonekana uko genuine na lengo lako ni zuri. Kila la kheri. Kumbuka watakuja inbox/PM wahitaji wengi tu. Hivyo, kuwa makini tu maana kwenye safari ya mamba hata kenge wapo. Na joto likizidi sana huko PM usisite kupiga kelele na kukimbilia huku ukumbini kwa ndugu zako ili tukusaidie
Masharti yako nmeyatimiza nami kabla sijaja inbox kwako wee ni mweupe? Kama sio basi kila la kheri
Nipo tayari ila cna mtoto na nimeumizwa sana kama uko tayari kuwa na mimi ila uwe tayari kucheki afya
umri please
Nina miaka 28 tu
maujinga ujinga ndo mavitu gani?weka clear please,
pole
Hakutaka kutaja umri wake kamili.Ndiyo maana hata mwanaume pia ameweka interval ya umri.Itoshe tu kumwelewa.Mwenye vigezo aende akale fungateNimekuwa msomaji humu ila nimekuwa na ID kwa sababu hii.
Kama umefiwa na mkeo kipenzi cha roho yako akakuachia watoto wasiozidi 2 na asipungue mmoja njooo inbox najua una hitaji mwanamke wakukupenda kwa dhati na mlee watoto. Mi nna 1 na wako 2 basi tutaendeleza fimilia yetu bila hiana!
Vigezo muhimu
age 37-42
uchumi: uwezo wakujihudumia wewe na watoto ( na mimi sio tegemezi sihitaji tegemezi ili tuwe tunashare/kusaidiana)
Uwe ushamalizamaujinga ujinga yooote tujenge familia
elimu: kusoma na kuandika japo mi ni graduate
Dini: RC,Lutheran, muislam naweza copy naye haina shida uwe kweli una mcha Mungu.
makazi: uwe na kwako sio unakaa kwa wazazi ama ndugu mf uwe umepanga/ umejenga.
NB: Usije inbox kama hukuwa unampenda mkeo maana utakuja huhitaji upendo wewe na huujui,
pia kama hujafiwa na mke na huna mtoto labda uwe umewahi kuumizwa sana mwenzako ameolewa naana watoto huko umekata tamaa ya mapenzi n.k.
umri wangu 27-29
Mama wee, kuna uzima dada??
nicheki kwa shabani_halfani@yahoo.comhaswaa wa mwili, na roho
Muombe Mungu atakupatia, lkn utoke utafutehaswaa wa mwili, na roho