Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja.
Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri ikiwemo kusomesha watoto ambao Mungu atatujalia.
Mi ni Mkristo mkatoliki, lakini dhehebu lingine sio tatizo kikubwa upendo wa dhati.
SIFA ZA MWANAMKE ANAYEJITAJIKA
1. Awe tayari kupima HIV
2. Umri miaka 25 hadi 35.
3. Awe na hofu ya Mungu
4. Awe tayari kuishi na mume, na kumfuata mume aliko na sio mahusiano ya mbali mbali.
5. Elimu kuanzia : DIPLOMA na kuendelea.
ASANTE SANA, na mwenye uhitaji KARIBU SANA 🙏