Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

subaibat

Member
Joined
Dec 12, 2024
Posts
16
Reaction score
10
Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
 
Kwahiyo hutaki kuoa ila unataka kulelewa watoto wako au sio?,.

Ajiri dada na shangazi zako kama huko kwenu house girls hawapatikani
 
Watoto ndo wana umri kuanzia 27 mpaka 35 au 😆
Umechaanganya hapo hajaweka koma, ila amemaanisha umri waa huyo Beki 3 uwe kuanzia miaka 27 hadi 35 ndio anaona anamfaa kumlelea watoto wake yaan yeye kashatimiza malengo ya kuzaa sasa hana mtu wa kumlelea watoto, mimi ningemshauri awapeleke tu kwa Bibi yao
 
Nlikua napiga Jobo hapa, nikaona mbona watoto teyari ni watu wazima. Kila lakheri mkuu subaibat
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…