AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Nenda Mlimani City wamejaa pale
Habari Za Tunisia?Mie niko Tunisia, legeza masheriti basi nifanye application baba
Afadhali uangalie net tu.....mbeba box anaijulia wapi bei[emoji125] [emoji125]mkuu huko lamborghine ni dola ngapi mkuu kwa sasa
Ikuodo wiya JapuonyNimeamua kujitosa kutafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo:_
a. elimu angalau kidato cha sita
b.awe anatoka nchi za A/ mashariki
c. awe anaishi USA au UK
d. hanakazi au anakazi - sintojali
e. awe anaweza kuongea Kiswahili japo kidogo
Mimi nafanya biashara nasafiri kati ya USA/UK/DUBAI. Elimu yangu ni zaidi ya Bachelor degree. sichagui dini, kabila wala rangi.
aliyeko serious ani PM.
Kongosho jinsi yako ni complicated.hiyo PM nimetuma
wengine wablock basi.