Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Soma vizuri hapo juu,sitafuti kitu kupitia rushwa ya ngono nafuta mwenza

mbona hujabalance weight kwa kuongeza na utayari wa kuambukizwa virus?...dah nimesahau au labda pengine na wewe uwe tayari kuambukiza? au wote muwe navyo then ngoma iwa droo...hayo matatu lazima yaingie kwenye list okey?
 
Mimi ni mwanaume msomi mwenye elimu ya chuo kikuu,sina kazi lakini nina mipango mingi ya kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kimaisha,ninapenda kufanya shughuli za kujiajiri ila tu mtaji sina.natafuta mwanamke atakaye nirahisishia mipango ya kimaendeleo.ninaahidi kuwa mwenza mwema na mwaminifu.namba yangu ni:0769743787


Dume zima unatafuta mteremko. Hujui huyo mwanamke unayemtafuta kapataje hela zake. Kama alizipata kwa kulima kwa mgongo utajuaje. Tafuta za kwako acha kumezea mate vya watu wengine.
 
Kazi kweli.hapo sijamsikia mtalaamu wangu watu8 njoo huku ucoment mkuu.kuna jamaa kachoma cha kike kakutana nalo.
 
Nawahivi wamo humu?

Ndio maana najiuliza sana kuingia humu!
 
Dah
Kweli tumefika hapa Tanzania? Wanaume kama vichwa kwenye familia wamepoteza mwelekeo kwenye jamii?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
halafu unajiita mwanaume....unipite mbali kabisa ibilisi wewe
 
Huyu jamaa anatia aibu hv umesoma chuo kikuu kwel? Camini hata kdg hebu jitambue wewe ni nan unatak nin ufany nin ili ufanikiwe .hyo njia unayotak kutumia itakucost sana i swear hutaamini kitakachokukuta .
 
Huyu hajasoma anadanganya,university inajenga watu watakaotatua majibu magumu ktk jamii.People who can come up wth solutions of the problem.Huyu anaongza matatzo ktk jamii.
 
Huyu hajasoma anadanganya,university inajenga watu watakaotatua matatizo magumu ktk jamii.People who can come up wth solutions of the problems.(Independent thnkers).Huyu anaongza matatzo ktk jamii.
 
Ivi mme wa mwanamke atakayekupata akijua ww ndo unamla mkewe, utakua tayari kuliwa tgo?
 
Bishanga njoo huku uone vijana Taifa la kesho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom