Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Si ungeenda bank kuomba mkopo mkuu?au ndo unapenda ubwete?basi kuna waarabu na wapemba wataku PM utajirike fasta fasta onyesha tu ushirikiano na itakuwa siri yenu wewe na yeye hatakusemea pembeni wala kutoa siri utapompa tu anachokitaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si ungeenda bank kuomba mkopo mkuu?au ndo unapenda ubwete?basi kuna waarabu na wapemba wataku PM utajirike fasta fasta onyesha tu ushirikiano na itakuwa siri yenu wewe na yeye hatakusemea pembeni wala kutoa siri utapompa tu anachokitaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ha ha ha ha!!??Acheni masihara basi,Mimi ninatafuta mwanamke nitakayeishi naye kwa kupendana na kuheshimiana naye,Maisha yamegeuka siku hizi,Wanawake ndio wana mafanikio kimaisha kuliko wanaume isipokuwa tu wanawakosa wanaume wenye malengo kimaisha,Wanaishia mikononi mwa wanaume wasio na akili za kutengeneza pesa zaidi bali wanaochoma pesa zaidi.Mimi ni suluhisho,Tutatengeneza fedha zaidi pamoja tukipeana fursa.Zaidi mimi ni mwema,mwenye shukrani na ninaye thamini michangu ya watu katika maisha yangu ya kila siku.
 
Hutafuti rushwa ya ngono?kama umefika chuo kikuu unafikiri tafsiri ya maandishi yako hapo juu ni nini? "mwanamke akupe mtaji utakuwa mpenzi mwema"hahhahh

Kama nimemuelewa vizuri, hili dume linataka kuolewa!!!!!!!!!!!!!
 
kama chuo kikuku bac ulifundishwa na matahila ilhali we ni zezeta ninge kuona wa maana ungetafuta mchumba wa kutafuta nae maisha kuwa muwaz sema NATAFUTA KUOLEWA MTAJI unanjia zake kupatikana na MCHUMBA pia cnk b4 ucwe bogaz ku2aibisha vidume wakat zege kibao mtaani komaaa MLAINI WW...
 
Usipende mteremko kijana. Unajua hyo mwanamke kazipata wapi?? Fight for ur own life sio kupenda vya bur tena mbaya zaidi jasho la mwanamke. We vipi mkuuuu??? FIIIIIGHT!!!!!
 
Mimi ni mwanaume msomi mwenye elimu ya chuo kikuu,sina kazi lakini nina mipango mingi ya kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kimaisha,ninapenda kufanya shughuli za kujiajiri ila tu mtaji sina.natafuta mwanamke atakaye nirahisishia mipango ya kimaendeleo.ninaahidi kuwa mwenza mwema na mwaminifu.namba yangu ni:0769743787

jamani embu acha biashara zako, yani upewe hela ugawe penzi????? ungeomba hata mchango wa mtaji humu Jf ningekuona wa maana. na hiyo mipango yako ya mafanikio makubwa mbeleni usipokuwa makini inaweza ikawa mipango ya mda mfupi.
 
Back
Top Bottom