Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha

Mkuu tafuta huyu jamaa Mwigulu Nchemba yeye atakulea bure, Achana na majimama yatakupa ngoma bure.
 
Last edited by a moderator:
Halafu wanaume mnalalamika oooh wanawake wanapenda hela bla bla hiki nini???? Mfyuuuuuuuu
 
Mimi ni mwanaume wa ki Tanzania, energetic, muscular, with a clean attitudinal record! Je, uko tayari nikulee?
 
kida!
Ila this is good,atleast umekua open from the start maana wako wanaotumia hela za wake na magf zao indirectly or wanaomba daily.
Utapata tu.

When i see this,i see the reality..
 
kida!
Ila this is good,atleast umekua open from the start maana wako wanaotumia hela za wake na magf zao indirectly or wanaomba daily.
Utapata tu.

When i see this,i see the reality..

Hujakosea kabisa,tuwasiliane
 
Back
Top Bottom