Natafuta mwanamke bikira

Bikra ya eneo gani tafadhali
Miaka 19-26???
Hata huko Uarabuni huwezi kupata bikra kwa miaka hii.
Umri wa 19-26 kati ya wanawake 50,000 wenye bikra ni 2 tu.
Almost impossible
Mkuu nafanya kubahatisha tu. Nisipopata potelea mbali ila angalau nilijaribu kumtafuta ili nisijilaumu sana mbeleni.
 
Nilichogundua mi ni kijana kiumri ila kwenye mapenzi nina mentality ya vijana wa miaka ya 80s na 90s. Kama sio bikra sitooa kamwe.
 
Natafuta huyo no. 2 mkuu
 
Mwanamke bikra aijue Jamiiforms!? .... Utakuwa unaota!!!
 
Nilichogundua mi ni kijana kiumri ila kwenye mapenzi nina mentality ya vijana wa miaka ya 80s na 90s. Kama sio bikra sitooa kamwe.
Hongera kwa kuwa na hiyo mentality, ila nakupa pole kwa maana unaweza kujikuta umezeeka pasipo kumpata huyo Mwanamke Bikra.

Zama zimebadirika Mkuu
 
Njoo nikupe connection. Kuna pisi ina 21 years ameahidi kunitunuku wiki ijayo ila anasema hajawahi kabisa so nijiandae na hiyo situation namna ya kumuandaa asiumie. Nipe dau lako nikuachie uwanja by the way mm napiga nasepa, kama vp nikuachie jumla kabisa nikahangaike na migume gume na masingle maza yaliyokubuhu
 
Wewe mwenyewe bikra?
 
Unatafuta bikra jf unaumwa mkuu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ok, hebu ongea vizuri na Amehlo
 
Kuna mmoja nimemuona ame-like angalia katika walio-like alafu ruka nae, utanishukuru baadae huyo ni Bikra
 
Kwa umri huo umpate bikra!! Hauko serious mkuu. Kwa siku hizi hao hawapo mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…