Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Kwani uko na umri gani @ kaka?

Je Mbona kama vile umekata tamaa ya kuweza kufanikiwa kuwa na mali ambazo watoto wanaweza kuja kurithi badae huko?
 
Kwa jibu hili..naelewa unatafuta mwanamke asiezaa kwa sababu gani🤔
Usidanganyike, hakuna mtu asiye na nyege. Kwanini mapadre wanafilana wenyewe kwa wenyewe au walimu wa madrasat ufila watoto/wanafunzi wao? Dini ni usanii tu.
 
Ndugu, sijui kwanini watanzania wengi wanaamini kila mtu lazima awe na watoto ?
Bwana wee yaani wanatushangaa sie ambao hatutaki watoto tafikiria tumetoka sayari gani sijui.
Wengine hatuna nyota za kuwa wababa bwana. Mambo ya kushika minepi mara sijui ada za watoto stress zote za nini bwana. Tuenjoy life mzeya
 
Kaka ukipata wawili huko uliko nipasie mmoja maana hapa JF ni kama vile hakuna. Huku mtaani wote wanataka kuzaa
 
Ulipata mwanamke asiyetaka kuzaaa?? Mrejesho tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom