Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Siwezi amini eti wanawake wa Tz wote wanataka mtoto
 
Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe.

Mimi sihitaji mtoto kabisa.

Mimi naishi Dar es salaam.

Dini yangu ni mkristo.

Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango wowote wa kuzaa.

Kwa maelezo zaidi, nitumie Direct Message.
Umejaribu masister wa kanisani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom