Mwanamke wa kuzaa naye mtoto

Roosevelt22

Member
Sep 28, 2022
11
10
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.

Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.

NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto siitaji demu. Kama kuna ambaye yupo tayari plz njoo inbox.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.

Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.

NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto siitaji demu. Kama kuna ambae yupo tayari plz njoo inbox.
Kila lenye kheri
 
Nani kakwambia mke anatafutwa mtandaoni!!!??? Kila lakheri
 
Back
Top Bottom