Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

Kila la kheri. Una hekima sana. Kujitwalia binti mdogo ni kujitaftia balaa.

Nimependa pale alipo-conclude kuwa majority ya mabinti wadogo ni Sungura tope na Gold digger, which vry true!

wanawaza show off kwny mitoko!
 
Last edited by a moderator:
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa mwenza wangu naye awe na watoto angalau wawili ku balance maisha ya kifamilia, na no kuzaa na tuwe kitu kimoja , lakini awe business oriented , ajue kufuga kuku, ngombe kuweza ku deliver consignement zaidi ya mikoa 3 yaani mtu wa kusafiri mara order inapohitajika . awe msomi angalau kidato cha 4 kuendelea, aged 35yrs na zaidi . aliye serious ani pm, no jokes . sungura tope na gold diggers msijisumbue​

Haleluya....Nenda kwanza katoe sad aka ya shukrani kwani ulichokuwa unakitafuta umekipata... I mean MUNGU ametimiza haja ya moyo wako... am here come over baby..
 
Huo wasifu unajitosheleza kweli ?....sidhani kama akijitokeza sampuli ya binti Njambe utamridhia.

Pia nadhani atakayekuwa interested angependa ajue anaenda kwa mtu wa aina gani...anafananaje....n.k.
 
Hayo mambo ya biashara ungeweka kapuni kwa sasa.Hao gold diggers na sungura tope watakuja wamevaa ushungi au bible mkononi.
 
Hayo mambo ya biashara ungeweka kapuni kwa sasa.Hao gold diggers na sungura tope watakuja wamevaa ushungi au bible mkononi.
babu M usinipeperushie ndege wangu.wacha tuingie tukiwa tunajua.
 
Last edited by a moderator:
am here husband come.mh pa kusafiri hapo na kufuga ng'ombe
 
mke haswa wa kufa na kuzikana

Sasa kwa nini utangulize kumtajia majukumu atakayopambana nayo kabla hata haujamjua? Je ukimpata mwenye kazi yake ya kuajiriwa ambaye hataweza kusimamia hiyo miradi utamkataa? Nakushauri utafute kitu kimoja baada ya kingine,mke kwanza halafu ndipo mtaongea namna ya kuendesha maisha yenu kwa ushirikiano.
 
Hujaleta mrejesho kama umeshampata mke uliyekuwa unamtafuta!!! Ni vema mkaipa JF credit jamani kama mambo yamekwenda sawa!! Matangazo ya bure hata senti hulipi zaidi ya muda wako hapa.
 
Back
Top Bottom