Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Habari zenu Wakuu,
Mwaka huu nimeona niongeze skills kidogo hivyo nataka kujifunza kupiga kinanda. Mimi ni beat maker ila bado sijaiva kwenye kupiga kinanda vizuri. Nataka niive ili nianze kuandaa project zangu serious.
Nafahamu ningekua Dar es Salaam ingekua rahisi maana music schools kwa Dar zipo ila mikoani huku imekuwa shida kidogo. Hivyo kama unamfahamu mwalimu mzuri wa kinanda mkoani Tanga naomba uniunganishe nae.