Weka email address watu watume maombi ya kazi na CV zao. Unawekaje Tangazo la kazi kama biashara ya MAGENDO. (kama wauza Potassium wanaweka hadi namba, wewe Professional unashindwaje).
Kuwaita watu PM ni Utapeli, vilevile zama hizi za Utekaji ni hatari.
Ukizingatia hata Jina la Shule tu Hujataja kwenye bandiko lako.
Be Professional.