Natafuta mwalimu wa darasa pili

Mawasiliano ni PM
Weka email address watu watume maombi ya kazi na CV zao. Unawekaje Tangazo la kazi kama biashara ya MAGENDO. (kama wauza Potassium wanaweka hadi namba, wewe Professional unashindwaje).

Kuwaita watu PM ni Utapeli, vilevile zama hizi za Utekaji ni hatari.

Ukizingatia hata Jina la Shule tu Hujataja kwenye bandiko lako.

Be Professional.
 
 
Unaweka tangazo la kazi halafu mawasiliano ni PM! Unataka kuficha nini kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…