Ridhwani Mbaraka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 484
- 1,137
Ninatafuta mtu anaeweza kutumia software hizo ili nimwajiri..
Kazi iko Arusha.
Akiwa mtu wa nje ya Arusha nitapenda sana awe hana familiar.. Yaani hajaoa wala kuolewa.
Mshahara ni kati ya 500,000/-700,000/ itategemea na uzoefu wake na bidii ktk majukumu atakayopewa.
Karibu!