Natafuta mume

Natafuta mume

Mungu ni mwema wakati wako ukifika utapata tu mbona kuna watu wanaolewa wana miaka 40 naa bt nakusihi usikate tamaa dada namba yangu hiyo utaniyafuta nitajia jinsi ya kukusaidia pole sana
 
34yrz and single? A woman!? Unaweza tafuta mwenyewe mume na co mpaka uolewe (digital)
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu

KILA MWENYE KUJIKWEZA ATASHUSHWA NA KILA MWENYE KUJISHUSHA ATAKWEZWA,,,,,,ameen,,kala la kheri
 
1.Uanze kufunga na kumwomba Mungu na kuvumilia
2. Aaanze kujichanganya kwenye social gatherings(asiwe mtu wa kazini,nyumbani).Nenda kanisani(ikiwezekana hata kwaya imba),mikutanoni,kwenye sherehe n.k
3.Nenda kwenye ushauri kwa watu wazima kama mchungaji na wamama wa makamo wenye heshima na uaminifu.
4.Kama imetokea umempenda mtu,jikaze umwambie unampenda.Usisubiri wewe ndo uambiwe(japo wengine wataona kama ukahaba).Na ukiona haelekei au anaonyesha dharau,ondoka mapema.
4.Usiwe CHEAP.Be EXPENSIVE lakini mwenye heshima.Vumilia mpaka wakati muafaka ufike nikimaanisha usikurupuke na chochote.
Umeongea yote niliyopanga kusema. Ahsante sana na nafikiri muhusika atayafanyia kazi.
 
Siongei mengi nipigie kwa 0764556760 ili tuongee japo hujasema ww ni dini gani.
 
Khaa!! Boflo wewe umechelewa kwelikweli. Only 4bfs?? Bado kinda sana kwenye masuala ya mapenzi. Hata kumuuliza ex -bf wako mmoja kwanini alikudump ulishindwa? Sikiliza wewe marriage isnt about your education, isnt about your job, your looking, your past life style na ujinga mwingine.....IT IS ABOUT SEX. Asikudanganye mtu ndiyo maana linaitwa tendo la ndoa kwa sababu linababeba 99.99% ya maana ya ndoa na hiyo iliyobaki 0.01% ndiyo zinabeba hayo masifa yako uliyoyajaza hapo ukidhani zina maana. Sasa kama unasoma gazeti ukiwa kiwanjani (6x6) au una headphones wakati wa kazi basi ujue utampata anayetaka free meals and accomodation kutoka kwako lakini atakuwa na kingoma chake kinachompagawisha huko nje huku. Hakuna cha kufunga na kuomba wala nini wewe jifunze njia za asili na kisasa za kupagawisha. Mbona mianaume mingi mingi mijinga utakuwa na kazi kubwa ya ku shortlist ili umpate mume umpendaye na atakuwa mtumwa wako 😎
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Piga 0788 05 11 12 ili tuogee zaidi
 
Kasi yako vuta polepole mama. Usije ukakutana na mipakashume halafu ukala za uso tena.
Relax pray and God will hear u.
 
Anashida na mume mimi nina tafta mke hebu ni beep kupitia 0762498390.
 
1.Uanze kufunga na kumwomba Mungu na kuvumilia
2. Aaanze kujichanganya kwenye social gatherings(asiwe mtu wa kazini,nyumbani).Nenda kanisani(ikiwezekana hata kwaya imba),mikutanoni,kwenye sherehe n.k
3.Nenda kwenye ushauri kwa watu wazima kama mchungaji na wamama wa makamo wenye heshima na uaminifu.
4.Kama imetokea umempenda mtu,jikaze umwambie unampenda.Usisubiri wewe ndo uambiwe(japo wengine wataona kama ukahaba).Na ukiona haelekei au anaonyesha dharau,ondoka mapema.
4.Usiwe CHEAP.Be EXPENSIVE lakini mwenye heshima.Vumilia mpaka wakati muafaka ufike nikimaanisha usikurupuke na chochote.

Ushauri nimeupenda sana, hata mimi nauchukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom