Natafuta mume

nakushauri dada yangu tulia, hata mimi natafuta mchumba wa kuoa lkn nahitaji kutulia nimpate yule alie safi.
 
pongoza maringo utampata wako! kwani wanaume wako wengi, pia jitahidi kwani naona kama umri wako unazidi kwenda
 
Mimi nakushauri kwa nia njema kabisa ukigonga 35 zaa, and sorry for this,hata kama ukizaa na mme wa mtu poa tu mradi umudu kumlea mwenyewe mwanao na usimgasi mkewe.
 
Hi mimi naomba kujua tayari umepata mume na kama bado upo serious kumpata mume naomba email yako swala la kuolewa jepesi usilikuze
 
kama uko serious nani natafuta mutu kama wewe lakin i wish tujuane and prove on what we say plz let us kep in touch
 
aisee,na mimi natafuta mke lakini umri sasa ndo tatizo,we ushakongoroka! ulikuwa wapi toka zamani? hao wanaume wanne wote ulikuwa ukiwapa utamu?
 
Kila aombaye hupewa! Mwombe mungu kwa hilo atakupa mme akufaaye!
 
dada mim naitwa juma omary kama unataka kuorewa naomba unitumiye namba yako kwenye email jumaomary93@yahoo.com
mimi nime kuwa nikitafuta mke kwamuda murefu sas kama unatabiya nzuri kama unavyo sema wewe basi nakuomba basi
kama kitawezekana tutafutane namba yangu ya sim 0765424407 AU 0659752133 nakuomba kama hii ume ipata nakuomba
jitaidi ufanye ivyo na mimi nitashukuru sana sio uongo kama uko taari powa ila mimi sema ukwei sija soma habari ndio hio
 
nambie mbona huja ni2mia email yako nawakati mimi nilikutumia namba yangu ya sim AU hukuiona? nambie kama hujaiona
AU ulikuwa hujaingia kwenye jamiiforms mimi nataka ufanye fasta kuni2mia email AU namba sim yako nina hamu sana
 
anabana sana ndio maana haolewi wanne tu? inabidi apate kama 60 hivi hapo mmojawapo lazima ataingia king


Achana na mawazo ya kutafuta mume. Mume anatoka kwa Mungu tu. Ukiona unachelewa go for Single Parenthood.
 
tuwasiliane kwa email innocentchristopher39@yahoo.com
 
Hupati mume kwa sababu wewe ni mkamilifu sana huna doa na umelelewa kwa maadili. Sasa ni binadamu gani anaweza kuwa mkamilifu mkamatch nae. Je unaweza Kumusudujia mumeo. Au wewe ni wale wa haki sawa.
 
zion,zion.....kesha kuwa na marafiki 4 wote kawapeperusha....unategemea nini??
ushauri.........kati ya wale X- marafiki ambembeleze mmoja amuoe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…