Natafuta mume

Dada mtafutaji c/o Boflo, usikate tamaa wa dada wengi wanachelewa kuolewa hasa wasomi. Akina dada wengi kadri umri unavyokwenda hofu inaongezeka, ukitilia maanani kwamba the closer women get to 40 inakuwa vigumu kupata watoto (biological children).
 
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Anza kujiamini utapata MME - hakuna maumbile ya "kuvutia kiasi" It is either "unavutia" au "hauvutii" - lakini inaonekana wewe mwenyewe unajiona hauvutii!

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Maboy-friend wanne ni idadi ndogo sana kuweza ku-graduate maisha ya ujana! Na hilo ndilo tatizo lenyewe! At least kwa age ya 34 ungekuwa na kama 20 hivi then obviously wa 21st ungempata muoaji!
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu

Boflo tafadhali acknowledge source www.u-turn.co.tz . Ni vema uki-copy and paste shukuru chanzo!! Mwanzoni nilifikiri ni wewe Boflo unatafuta, maana ID yenyewe mhhhhh!! Kuolewa ni kisimati au ni nini wanajamvi? Yaani kuna mabinti wazuri ninawaona ni wazuri sana lakini hawajaolewa. Kwa ma-men singles neema hiyo imewajia!!
 
jamani ni ipi jinsia ya Boflo

Kwa kweli jinsia yake ni utata mkuu. Unakumbuka aliingia kwa ID ya Bwabwa, mwishowe akaomba ibadilishwe na kuitwa Boflo na akajitambulisha kwa upya na kuukana uraia wa Bwabwa hadharani. Nakumbuka wengi tuli-suggest several IDs zikiwemo sponge, mkate. biscuit,etc, yeye akachagua BOFLO. Anyaway, cha msingi ni member na tunaheshimu ID yake kwani Administration ya JF imelikubali.

Vipi Baba mkwe kavunja nyumba tayari? Kuna kipindi alikuwa anakunyelea ka sijakosea!
 
Hudhuria ibada, Muombe MUNGU si kwa ubinafsi ila pia waeleze viongozi wa dini, kwani kwa uzoefu wangu wanapata maombi mengi sana ya vijana wanaotafuta wenza ila si kiongozi kama yule mchungaji wa IRINGA wapo wenye busara.

Kumbuka, ukifuatwa usionyeshe mali wala elimu mapenzi si sehemu ya hayo wala maumbile ila ni mapenzi toka moyoni ndo maana hata mimi nina wangu...

Keep on praying
 
Someni kati kati ya mistari waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao
 
Lazima ujiulize kwanza kuwa hao ulikuwa nao ulianza nao vipi.
Kauli zako, upole wako, na jinsi unavyowahndle watu wako.
Wanaume pia wapo makini sana kuhusu kuoa ni bahati mbaya tu huwa wanaangukia kwa watu
1. Wasiotulia
2. wasio wavumilivu
3.Wasiowapole
4. Wenye kauli nzuri ya kuita
Kama hizi zote unazo na umefikia hatua ya kujiuliza nadhani utamkumbuka Mungu wako, Muombe sana naye atakupa Mme bora.
Na katika kipindi hiki ogopa sana kujirahisi utakufa haraka.
Maana kuna wanaume kibao wamechoshwa, hawajaridhishwa na ndoa zao wanataka kupunguzia matatizo yao kwa watu wengine.
Watajidai hwawana wake, wanataka kuoa kumbe ng'o. Endelea kuwa mnyenyekevu, mcha Mungu, na kama utaendelea hivo basi ujue Kuna Muujiza juu yako uatakuja kupata furaha ambayo lazima uatshuhudia.
Ujue pia kuwa yawezekana Mungu kakuepusha na mtego fulani. NDOA ione kama ilivyo. kwa wakristo ndiyo msalaba mzito maana ndani yake mhh!
Kwa hiyo nawe wako upo kwa fundi
Vumilia vumilia utampata aliye wako ili mradi tu uwe mpole kama mama au mdada. Ongea na watu kwa mda mzuri kuonesha heshima na umpatapo kuwa mnyeyekevu kama neno lisemavyo. siyo asubuuhi unataka haki sawa mara ...... mipango kibao.....:A S 8::A S 8::A S 8:
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu
Huenda unatafuta wenye uwezo na hutaki kujichanganya na malofa,sehemu nzuri za kupata wanaume/wanawake ni makanisani lakini kabla ya yote mkapime kwanza,mimi ningeweza bana lakini ni lofa nalalalia telemuka tukaze na nina mtoto mkubwa ,ila sasa sihitaji kupata mtoto,mambo ya kulea tena mmh,
 
thatha wewe tena una duuuh kama amekupenda hiyo telemka tukaze haina noma ,,,ila swala la mtoto mmh mwenzio hana hata mmoja :confused2:
 
Kwa kweli jinsia yake ni utata mkuu. Unakumbuka aliingia kwa ID ya Bwabwa, mwishowe akaomba ibadilishwe na kuitwa Boflo na akajitambulisha kwa upya na kuukana uraia wa Bwabwa hadharani. Nakumbuka wengi tuli-suggest several IDs zikiwemo sponge, mkate. biscuit,etc, yeye akachagua BOFLO. Anyaway, cha msingi ni member na tunaheshimu ID yake kwani Administration ya JF imelikubali.

uhuru wa kujieleza na kujitokeza mbele za watu, lakini nasoma kati ya mstari, ananiacha hoi. labda si riziki.
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu
..........Eti umetoka kwenye familia yenye maadili!! Hivyo BF 4 unaona wachache? Mhhhhhhhhh kazi kweli kweli...........na inabidi ujiulize kwanza una kasoro gani kwenye mahusiano hadi hao BF 4 wote wakupitie halafu wote wakuache bila kutangaza niaaa:confused2:
 
pretty wanaume 4 kwa mtu mwenye miaka 34 si wengi....huwezi jua alianza lini mapenzi!imagine alianza wkt yupo form111...
nampongeza ujasiri wa kuvunja ukimya!
cha msingi wanawake tuwe na subira!mume mwema analetwa na mungu....shukuru kwa yale mazuri mungu aliyokujaalia jua una vitu vingi vizuri ambavyo wanawake wengine hawana.....ukitafuta kwa kupania utakumbana na vimeo ambavyo vitakuongezea tu idadi.
 
DAda yangu pole sana kwa hayo, ila ninachochelea ni kwamba dada yangu usije ukajilegeza mno kwa wanaume kwani tukikujua wanaume tutakuchezea tu halafu tunakuacha(japo c wanaume wote wenye tabia hizo. ILA WAPO)
Wewe mwombe MUNGU kwa bidii na vilevile hebu ulizia kwa waliokutangulia kwenye familia yako kama walikuwa wanapata waume mapema kama walikuwa hawapati basi tutawasiliana zaidi.Nazungumza hivyo kwa maana nina uzoefu kwamba wakati mwingine huwa inatokea watu wanakosa kupata mume au mke kutokana na familia zao zipo namna gani, kuna maneno gani wanayojizungumzia(kwani maneno yanaumba), vilevile kuna mambo gani aliyoyafanya au kufanyiwa n.k
Mambo kama haya wakai mwingine unaweza kuomba sana na bado usifanikiwe kwani kunaweza kuwa na vifungo kwenye familia. Sasa usipojua siri hizo na namna ya kuzivunja itakuwia vigumu sana ktk maisha yako_Onana na watumishi wa MUNGU aliye hai na uzungumze nao kwa urefu kuhusu maisha yako kwa jumla.

MUNGU akutie nguvu dada yangu
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu

Yafuatayo ndio yanayokukwamisha;

1. Unataka kuolewa na asiyewahi kuonja kabisa na wakati hawapo tena katika umri wako....!

2. Hutaki kuliwa hali hatua fulani, ni vigumu mtu kusubiri kwa kitu kilichotumika tayari, na haieleweki kama bado kinatumika...!

3. Kazi na elimu yako inakuponza na kukufanya kuonesha dharau fulani kwa baadhi ya wanaokustahili, inawafanya wasite kukutokea...!

4. Umri wake wengi wamekwishaoa, hivyo uwanja wako ni mdogo sana....!

6. Vinginevyo, hayo ndio madhara ya "campaign za uaminifu" hapa nchini, aidha, kubali kuwa nyumba ndogo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom