Natafuta mume

Nime vutiwa na wewe mpenz naita vincent na miaka 25 napenda kuwana wewe namapenz ya ya dhat mpenz namba yangu0788487444
 
Mungu akupatie sawa sawa na hitaji la moyo wako!!
 

Aise boflo, mambo vip? Tayari ushakuwa mke/mchumba? Mi bado nakusubiria bwana, niliwapa nafasi mi nije wa mwisho, kuna uwezekano haseeeeeee?
 
siku yako haijafika.ikifika utaolewa tu.endelea na tabia yako hiyo hiyo.ukisema uanze kujirusha juu kwenye club za mchana na usiku unaweza ukafa bila mtoto wala kuolewa.upo juu sana.usikate tamaa.
 
wanaume wote mliochangia,imekula kwenu.huyo dada anahitaji kusaidiwa na akina dada tu....sina msaada wowote kwake.
 
wanaume wote mliochangia,imekula kwenu.huyo dada anahitaji kusaidiwa na akina dada tu....sina msaada wowote kwake.

una maanisha yeye ni msagaji au nini? Yeye anataka mume afu we unadai msaada wake ni wa wanaume 2, una maana gani? Kuwa muwazi bloöööö!
 
kwenye umri hapo utata kwangu ingawa ninahitaji pia.
 

Ushauli gani huo sasa unaompa?
 
Muomba ushauri anasema:nisaidieni mwanamke mwenzenu.Je,ni halali wanaume kumshauri?
 
ongera sana kwa ujasiri wako. Ni wachache sana wenye uwezo kama wako....ila nikukumbushe umesahau kuhusu dini. Au dini haina tatizo? Other wise find me.
 

nimekuelewa sana dada, ila naomba ni'bargain' kidogo, umri haupungui?
 


watu wanataka vitu mnato....kama huna hiyo sahau mambo ya kuolewa sijui nini...mitikiti maji nani anataka
 
Mpendwa pole sana, nakushauri ufunge siku tatu kavu. Katikahizo siku za kufunga mwambie Mungu akufunulie ujue wewe ni nani, inaonyesha hujijui Lazima kuna kitu unacho kinachokufanya usiolewe au unakuwa na uhusiano usiodumu. bila kujua chanzo cha tatizo lako hata maombi yako yatakuwa hayana maana, maana utaendelea kufanya yale yasioyopendeza mbele za bwana.

kama kweli una wito NI PM nikuelekeze wapi uwe unaenda kuhudhuria semina za vijana walau upanze kupata mwanga.

All the best.
 
Dada, wasikudanganye humu humu jf kuna wanaume wantafuta wake cha msingi wewe weka mawasiliano yako kwamba watakupataje? na ikibidi watakuonaje pia, kikubwa kuwa makini saaana na wale utakaowasiliana nao maana kuna wengine ni mafataki wana system ya hit and run.. kama wanavyosema ile kampuni ya simu kuwa '' KAZI NI KWAKO''
 

Vumulia bado kidogo. Mume yupo njiani
 

OOoooh hapa nachanganyikiwa kabisaaaaaa hata sikuelewi:A S-confused1:
 
Mh! binti upo tayari kula mema ya nchi? ila haujawa muwazi, bado upo na ma-boi fr wako au mmeshaachana? msije mkawa mnaliendeleza ribeneke then unasema unatafuta mchumba. kuwa muwazi kwanza ndo tukupe ushauri, yupo kijana ana miaka 36 anatafuta mke mwema, ila umemchanganya, haujasema unataka mme wa kabila au dini ipi! hata wewe haujasema n dini au kabila ipi! elimu yako n ipi! kaz yako n ipi? hivyo ukivitaja ndo vnakuongezea sifa ya kupata mme, ucje ukawa n bahamed then unaficha, kuwa muwazi mama.
 
Pole dada ,la umuhimu ni kujua madhali bado upo duniani basi rizki yako ipo,zidi kumuomba m'mungu akurahisishie kumpata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…