Natafuta mume


APOLOGIES…APOLOGIES…PLEASE
Naomba ku apologise kwa dada salama jay na wana jamii forum wote kwa ujumla kuhusu posts zilizokua zikitumwa kupitia akaunti yangu ya JF
..napenda kuwaambia aliyekua akituma hizo post hakua mimi ila kuna mtu aliomba kupost mambo yake na hakua na akaunti nikamruhusu atumie ya kwangu kupost lakini baada ya kupost ndio akaanza kutoa na comment harsh na sio mara moja nimekua nikiitumia jf kwa muda na imenisaidia kwenye masuala ya kiteknolojia na kielimu na sina kabisa tabia ya kutoa comment za kejeli au matusi japokua huwa najibiwa kwa jejeli sometimes lakini huwa si respond hata ukiangalia posts zangu, kejeli na matusi hufanya hii site kuonekana ni ya majungu na ya kijinga badala ya site nzuri ya kusaidiana,….thanks
 

apologies accepted.!
 
Choo......
Chonka kaziro waitu bhanyakutula ogu yabhaki bhojo
 
Nitafute mimi, Salama naomba uwe serious kwa hili. Hata kama umepata plz reply back
 

Kumbe unatafuta serious mEn..?!! nilidhania unahitaji a serious mAn. Nishaghaili and I seal the deal. Iyo njia-kuu itakuwa na foleni sana, mwishoe nami nitaishia kwenye michepuko bure. akhuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…