Natafuta mume

Niko mm hapa napenda wa haya sana tena nyie mnajuaga mapenzi japo hata ao webgine wanajua laki nyie mmezid sana haya sasa andika namba ya sm hapo😕😕😕 nikupigie sasa
 
I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..
mi ni maji ya kunde pia ni outgoing maana ni mlevi and i think i can be responsible but am not smart. ntakufaa?
 
Pm plz......
 
Vp suala la dini unalipa kipaumbele gani?
 
Mara ya mwisho kukutana na thread yako ilikuwa unatafuta business patna.....ulimkosa ndio umeamua umtafute kwa namna hii ama???ni swali tuu
 
Umeshasema unataka mrefu maji ya kunde halafu unasema huangalii looks. Mbona unajichanganya mrembo.

Nikisema looks namaanisha uzuri au ubaya..ubonge au wembamba..!uo urefu na maji ya kunde ni details ndogo sana kwenye mwili wa binadamu..sio kama yule anayetaka kuona kiwiliwili changu
 
mi ni maji ya kunde pia ni outgoing maana ni mlevi and i think i can be responsible but am not smart. ntakufaa?

Mlevi.???come on.!dats not how an outgoing person should be.!na nikisema smart ni kiakili..huo usmart wa nje ni kazi ya mke.!so inarekebishika..
 
Mara ya mwisho kukutana na thread yako ilikuwa unatafuta business patna.....ulimkosa ndio umeamua umtafute kwa namna hii ama???ni swali tuu

Business partner nimepata tena watatu.!na Inshaallah kipindi kitaanza mwakani.!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…