Natafuta mume

Mungu akujalie mume mwema,dini imeninyimia mke
 
Yaani kiswahili chenu kinanishinda kweli, sasa hapo unaelewa nini...kijana anakuja, "ooh faza mi sielewi, nifosie mazingira basi". Sisi wazee tunapata shida sana.
Mfosie mazingira, maana yake umtoe faza 😁
 
Njoo pm tuyajenge mama vigezo ninavyo nawe unavyo Alahamdulilah
 
Kwahiyo nikileta cherehani yangu mbovu unatengeneza?
 
Mi Kafir ila pea mbili za Kobazi, vipi siruhusiwi kutuma maombi?
 
Nipo tayari nicheck tuyajenge
 
Umepata mume?
 
wewe ni mzanzibar? Maana watu wa hiyo pande ni wana ndoa na uislamu yaani ubaguzi kama wote utadhani wao ni waarabu!
 
Njoo inbox
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…