Natafuta mume


Ahahaha.

Mambo ni mengi bado

hebu uambie umma wa wana JF Upo mkoa gani kwanza....
 
Hapo itakua kamegombana na bwanake kanatafuta faraja huku.

Jamaa akirudisha majeshi mwenzangu na mimi unapigwa chini.

Sijawahi kuwaamini wadada wenye miili midogo hasa ma fundi cherehani wanaovaa ushungi wao wanaita kujistiri. πŸ˜„
 
Nimejaribu ku imagine mwili wako kwa hizo kg, hakika nitakumudu kukubeba panapo mizagamuano.
 
Ni pm insha allah kama kweli una nia ya nusra
 
Anaambiwa "Ma mtu nifosie mazingira" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani kiswahili chenu kinanishinda kweli, sasa hapo unaelewa nini...kijana anakuja, "ooh faza mi sielewi, nifosie mazingira basi". Sisi wazee tunapata shida sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…