Natafuta mume

We unavyopenda kuletew popcorn uwe katika sisi nakataa milele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu ni wa kwetu tu kaka, tutaenda hata kwa bro mshana atuelekeze nini cha kufanya πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu ni wa kwetu tu kaka, tutaenda hata kwa bro mshana atuelekeze nini cha kufanya πŸ˜…πŸ˜…
Tukimpeleka kwa mshana huyu anaweza akapagawa sana mpaka akaandika Uzi wa kutaja wasifu wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vijana mlivyo hamnazo mtakimbilia dm kujiorodhesha.

Hamjui Kama mnajidakisha kiraini huku watu wanakula kuku kwa mrija.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…