(dini Muslim)
Kila la kheri ,miaka 25 una kilo 50? Ongeza mwili huo.Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
NakuombeaHabari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
Kwani Mungu ndio nani?Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
Umepata asali wa moyo!Hatimaye neema imenidondokea,
Unaweza kuja kuishi huku nilipo tupige box pamoja?
Kila la kheri dada, Mungu awe nawe, hapo kwenye dini muhimu upashike , usije kudanganywa na wa dini zengineHabari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
njoo inbox tuyajengeHabari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
π€£π€£π€£ atakuja kusema Dini imemkata
Asilimu aoe aache ubishiπ€£π€£π€£ atakuja kusema Dini imemkata
Kama na yeye hali Ugali,itapendeza zaidi.Umepata asali wa moyo!
Ngoja aje πππAsilimu aoe aache ubishi