Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,662
- 190,721
😂😂 imagine hamna kuvaa hata hereni, uwiiWasabato wako strictly sana. Hawataki ujinga ujinga na kuvaa nusu uchi na ulevi. Huyu anataka mtu asiyemkataza kuvaa vimini na kunywa kunywa
😂😂 imagine hamna kuvaa hata hereni, uwiiWasabato wako strictly sana. Hawataki ujinga ujinga na kuvaa nusu uchi na ulevi. Huyu anataka mtu asiyemkataza kuvaa vimini na kunywa kunywa
Miaka 26 ufundi wa kitandani ulijifunzia wapi 😂😂
Mtaji tenaaaa? mbona sifa zimeanishwa hapo yenye msisitizo ilikuwa ufundi seremala? au una za ndaaaani kbs wwUna mtaji wa M100?
Je walokole wako je?. Nadhani hata pombe wenyewe hawanywi wako strict and serious kuliko wengineWasabato wako strictly sana. Hawataki ujinga ujinga na kuvaa nusu uchi na ulevi. Huyu anataka mtu asiyemkataza kuvaa vimini na kunywa kunywa
masahihisho:take home yake ni M7 monthly
take home yake ni M7 ANNUALLY
Mtaji tenaaaa? mbona sifa zimeanishwa hapo yenye msisitizo ilikuwa ufundi seremala? au una za ndaaaani kbs ww
Kama una hiyo 4m hiyo 3m unaitaka ya nini? Kumbe una hela ya kukidhi mahitaji?Sina biashara, ninalipwa ujira wa sh milioni nne net kwa mwezi.
Ahsante
Ni jinga tu mtaji wa millioni moja kuzalisha million 3 na kuendelea hiyo ni biashara gani?Sina biashara, ninalipwa ujira wa sh milioni nne net kwa mwezi.
Ahsante
😂 ahsante kwa kuthibitisha kuwa una income ya 7M per weekly.masahihisho:
Walokole wengi wazugaji sio kama wasabato. Walokole baadhi wanasema jali matendo na sio mwonekanoJe walokole wako je?. Nadhani hata pombe wenyewe hawanywi wako strict and serious kuliko wengine
Wapi nimedai mtaji wa milioni moja? Soma vizuri na ficha ujinga wako. AhsanteNi jinga tu mtaji wa millioni moja kuzalisha million 3 na kuendelea hiyo ni biashara gani?
watasema hii ID yangu ingine najipigia promo😂 ahsante kwa kuthibitisha kuwa una income ya 7M per weekly.