Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
We kasema uwe na monthly income ya 3M,, kama huna basi mtaji wako wa biashara uwe 100M.
Dada hajatata fundi wa kwenda kumtengua kiuno

yaani hiyo sifa namba 3 nilivoona tu chuo kikuu nikasema nimo, kumbe kumeendelea mpaka mamilion khaaah, si atuue sasa
