Natafuta mume

Kuolewa siku hizi imekuwa ngumu sana endelea kuomba mungu ila mapenzi ya social network ni utapeli tu amna mkweli
 
Mkubwa mno mimi sikuwezi..!
 
Hakika ukimtegemea yy hakuna linaloshindikana cha muhimu ni kuzid kujisogeza zaid mbele ya uso wa Mungu na kwa msaada wa Roho Mtakatifu hakika hitaji la moyo wako litatimia
 
Dada yangu kama kweli unasoma biblia utajua ni jukumu la mwanaume kumfuata/kumfuata mwanamke ambaye anataka kumuoa.
Kwenye biblia mwanamke yoyote ambaye alikuwa anafuata mwanaume lazima alikuwa na kasoro fulani kubwa
Pia Chema chajiuza, kibaya chajitembeza
Dada yangu sikufahamu ila kwa kuwa tuna imani moja, nikwambie kuwa wewe ni wa thamani sana.
Mwombe Mungu akuletee mwanaume ambaye anaweza kusimama kama mume katika nyumba yako.
Jitathmini je wewe una sifa za kuwa mke wa mtu
Unamtegemea Mungu, unavaa kiheshima, una tabia njema, unaweza kuwa mama na kulea watoto, unafahamu biblia inasema nini kuhusu kuwa mwanamke n.k
Ukija humu unaweza ukapata mwanaume anayefaa lakini chance kubwa zaidi utakutana na vibwengo waliokataliwa huko na wengine kwa kushindwa kuwa na vigezo vya Kichwa cha familia,
Akaja akakufanya upoteze hata hiyo imani uliyo nayo
Piga maombi na jitathmini kama umesimama katika imani
Amini katika muda aliokutengea Mungu nawe utapata bdoa nzuri usiwe na pupa
 
Sasa huo uzee unataka umalizie na nani ndo nyie hamkawii kuja kulalamika vijana wa siku hizi wavivu kumbe we ndo umechoka k imesuguliwa mpaka imeweka sigda nenda kwenye vijiwe vya kahawa utapata wazee wenzio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…