Natafuta mume

Natafuta mume

mh!!,.. kma umchlewa hvii... ila mungu akujaalie .. ol the bect
 
Mimi nina miaka 40 na nilipata bahati ya kupata mtoto wakike wakat ule wa tayari bado. Sasa mwangu ni mkubwa. Sasa nahitaji mke kama wewe unavyotafuta seriously
 
Habari,

Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.

Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi katika njia zimpendazo Mungu, awe amejiajiri au anafanya kazi.

Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Kwa sasa kuona kumesitishwa hadi uhakiki wa ndoa zilizopo ufanyike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom