kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
Mhh mi nahitaji mwanamke wa kumuoa lkn wanawake na hata wanaume wanaojifanya au kujiona ni wacha Mungu saana huwa wana mabaya mengi saana so toooo religious is not good as they always seem to be standing behind the curtains mhhhh DINI IKIWA NI KIGEZO NI NOMAAAHabari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.